[ATTACH=full]76279[/ATTACH] I have this Panasonic DVD car stereo model No. CN-MW100D, yenye imepoteza memory after Battery disconnection. I am told I have to get its reset SD card, for that specific model, na sipati. Sitaki kuskia maneno ya kununua stereo ingine cos hii ilikua ya maana sana na ni njaanuary. Saidieni tafazari
Iyo steje/stereo zii…kwanza kama ilikam na iyo ndae
I has something to do with removing all the cables to the battery and letting all the power run out in all the systems in the car. Once you reattached the battery everything reboots and my radio came back on.
Sikuelewi.
Call 0719-551-146 they may be able to help
Kumbe ni Taj, nimewacall wakanirefer kwa msee ako Ngara. Thanks
Let us know if you eventually get sorted.
Learn Japanese !
Eventually utaitoa tu…infact they just referred to you as a customer.Ukifika Ngara atakushow hio labda mtoe juu haiwes.
Mind you ukitoa io hewa hata upeane free hakuna msee hutaka. It’s useless.
Ukisha import gari, kama iko na stenje powa, pale kwa port wao hutoa wanaeka hizi za kichinku…
Stenje za sony iyo model huwa zinashikanishwa kwa ndae vifiti so hao jamaa hawezi ngoa
Steje ya mine imelemea mafundi itabidi nitafute sony roho safi
Inaitisha software refresh. you can DIY or go to those radio repair shops wakule 1k for giving you the software.
How?
boss wacha ku force sheng, inakufanya ukae fala wa shagz! STENJE na TENJE are 2 different things.
Unadownload unaburn CD ama unatumia mem card depending on the radio model. Ni stuff utagoogle.
Tafuta mem card ya SDHC standard uweke hiyo software utatafuta uko kwa net kama kuna mtu ameupload. once software is properly placed and inserted the radio picks up the rest of the process. keep the software somewhere for future use.
Nimekuwa majuu nimerudi last year feb kaka
Thanks. Acha nitafute.
Umejaribu lakini
kuna vile unaeza badilisha language to English kwa izi tenje za kukuom?
I am not an expert in that field but I know those guys are good since they specialise in car music systems