car jacked na wezi najuwa

ilikuwa 2009 sparta ametoka reggae na akina dj sunday,raiya ikasema tuende canopy,kwa pub ya sunday hadi morning, lakini sparta alikuwa mlevi sikutakaa kuongeza fombe, nika amua wacha niende mtaa nikalale…
apo nika chukuwa 108 B ndio inifikishe karibu na keja, nakumbuka music ilikuwa ma Rnb kwa matatu,

sparta kama kawaida nikateta iyo upuzi ikatolewa reggae ikawekwa kwanza za richie spice

matatu took like 30 mins ndio ikuwe full,sparta favorite seat yake just behind seat ya dereva nikatulia si kusumbua,na sing along to richie spice

safari ika anza, tukafika past ngara, conda aka anza kulipisha, tukampatia hadi ya izo masaa ilikuwa 80bob

first stop ilikuwa riva wasee wawili wakashuka na safari ikaendelea, tukaingia ile chum sasa inaitwa B
kuelekea na ACK church, apo ndio mawe zilikuwa zimewekwakwa barabara, dere aka sense apa nikubaya alipo stop izi jangili zikatoka kwa near by plantation na bonoko guns…shouting zima taa ,zimaa taa

apa nikajuwa sisi kwisha…wamama kwa gari waka anza kupiga nduru, lakini walipofungua mlango,kila mtu aka panic, dere alvurutwa nje na konda wake, pesa ikaenda, konda after kupeana chapa akahepa mbio kwa plantation…wakarudi sasa kwetu…

simu na wallet…leta simu na wallet, mama moja alikuwa anakataa akawekelewa chuma ya kichwa, apo tukajuwa these guys are not here to play, thou ukiangalia vizuri unaona izi bunduki ni bonoko

kila mtu alipeana simu na wallet, hadi sparta, then this fools ata hazikuwa na mask kujificha uso, sikuwa natakaa kuwa angalia kwa macho,dere was begin them chukueni pesa lakini musiumize mtu tafadhali…

nikienda kupatiana vitu zangu na pataa jamaa ni kaori na Kagethee maboy tulikuwa tunacheza ball nao, kwanza uyo kaori ni wa hood yetu:eek:

nikajifanya sija mnotice asinipige risasi na bonoko gun, sasa this guy made a mistake akani itaa aaai jabba kare weeeh!! akarudisha simu akaniambia nizime, wallet wakatoa chappa wakanirushia na wakatoka

wote tuka ambiwa head down,wakapiga risasi moja kwa hewa na wakahepa, kumbe bonoko zote hazikuwa fake:mad:

later magari zikakuja tukapataa courage ya kutoka, tukatoa mawe na dere akadai tuende kihara police station kwanza to report juu pia makanga wake haonekani,wakipeleka ule mama hosi,

sasa fombe ya sparta ilikuwa imeshuka by now, then mzee moja akapayuka uyu kijana mrefu wanajuwana na wezi, simu yake alirudishiwa na wallet, nika anza ku bishana nawao kuwa sijui hizi jabazi, wakasema tuende police station,

apo ndio nilipataa opportunity kufungua mlango tukielekea karao,na nikajitoa…juu nilijuwa niki snitch kaori na Kagethee watanimaliza, nilikimbia iyo usiku kama usain bolt hadi home,

fast forward ule makanga alipopotea kwa shamba ya watu,alianguka kwa shimo ya maji ilikuwa inachimbwa broke both legs,and a hand but alisurvive

later kaori tulionana redcarpet ngara akanibuyia tusker ,l didnt bring the story up
Kagethee naye alipass after a robbery gone bad, mob justice :frowning:

Timothy umeona mengi

najuwa pia nyiyi mumeona wengi ni vile heka hamleti

@pamba tupe heka vile mara ya kwanza kumaliza msee na risasi

108B ni route ya wapi? Muchatha. Ndenderu au gacie?

hii nikama kuliza okoa jahazi ni ya safaricom ama ni tariff gani

Ni kaori mgani ? Hapo next na First Born Nursery school, next to telecommunication mast ?

cheza chini kaka

Toboa kwani nini ?

io shimo ya maji kwani haikua na maji ndo io makanga ilikimbia i drown

Mbari ya Kihara ni wezi ka wote! Hio miaka ndio ukora hio area ilikuwa juu. Shida wanaibiananga pia wenyewe kwa wenyewe. TLS ndio maana umejificha Mombasa. Lazima umewekewa wanted

unabonga kama msee wa mbare ya kamanya

Zii. Niko na maburoti huko ukienda Karura so naelewa story za huko. Hapo Mugaca na Njakae nimedeal na watu kama hao

apo mugaca ukitoka wangige usiku ushukiye apo 90% utasanywa 5% uta umwa na izo doggy za apo

5% makarao watakupeleka ndani

atleast siku izi kuna nduthi, thou drivers ni walevi

Ruaka-muchatha-banana ni 106
Ruaka-ndenderu ni 107
Gachie 108…108B jijazie…

Noma sana TLS.
Utasemaje kuhusu hii story?

Hapo sawa. Hio jeshi yo ubidi ujifanye huwajui

Nakuona sana hapo rwinuu ! Ulic[SIZE=16px]heza poa , you could have straight gone to cell .[/SIZE]

apo inabidii kuangalia chini kama mtoto wa primo vile tulikuwa tunaogopa walimu

na unajuwa thuraku za uko sio mchezo na mkojo iko iyo cell

wah

Hongera. I always enjoy hekaya zako. Nice one