Business tip ::: idea worth 1million bob free

M that ninja who gives u free tips on business success …

We all want to own a business some day n enjoy all the fruits of self proprietorship … Just like the fruits of the holy spirit the fruits of sole proprietorship are many as long as u understand what the society wants …

Have u ever seen how the wahindi operate… This ninjas don’t do stupid hustles like farming in river banks or selling ice cream they sell u that commodity they are 100% sure lazima utanunua e.g electronics , pharmaceuticals , foods n beverages etc… But my point ain’t there lemme use my business …

Initially I opened a barbershop , but soon realised the community I operate has so many niches … 1st I realised guys would go for fishing hooks Hadi thika town kwa duka flani ya woria huwa inauza those attics items huwezi pata anywhere else like sukari gutu , madawa za gnld etcetra hapo nikaenda nikabuy fishing hooks in bulk ( hiyo duka huwa hapo karibu opposite jamuhuri market mukereti ) … Wacha sifa zienee ninauza hooks , long distance traders from the banks of Tana n chania river would come to my shop to buy the hooks n fishing strings one packets goes for kshs 900/= with 100 pieces na Mimi nauza a single hook kshs 30/= , hizi hupelekana na sizes Kuna yenye packet ni 500/= nauza @10/= -20/= …etc so hapo I filled that gap , Kama sahii Ni rainy season this are hotcakes …

Kukaa another customer asked me bolts na screws Fulani za nduthii hehehehe sijui hizi vitu but Mimi Nani Mimi huyo Hadi grogorn nikapimiwa bolts na nuts makilo kadhaa , ask any nduthi guy best nuts n bolts hupatikana wapi ofcoz my kibadaski… Kukaa kidogo nikarealise Kuna demand ya bike accessories Mimi huyo nikaleta lubricants (fake ones) , bike tubes , viraka , bearings rings , springs etcetra … Hapo I captured nduthi gang … Nikasikia pia wanapenda music systems na tutors Mimi huyo nyamakima nikapata hizo bidhaa…

Sometimes later a customer akaniuliza gas hurefiliwa wapi, nikamwambia Ni Papa hapa nikakimbiia new pro gas cylinder nikaexchange in 3months nishakuwa gas cartel … M loving this kibadaski jack of all trades …

Nikiwa nimetulia sindio huyo ninja ananiuliza Kama naweza mbadirishia broken screen ya simu , nikamushow Ni Mimi hurepair simu hapa , Mimi huyo riverroad pale electronics house a tecno screen (touch) Ni 200/= n ave charged 1600 /= …uuuuiiiiiiiiii kumbe pesa iko kibande hii … Narudi na hotair gear na screen protectors kibao (,get @26-40/=) u replace na 150-300 depending na ushamba ya mtu … Pia I buy other accessories like mics, charging ports , terminals etc … Hapa inabidi I employ a electrical technician awe anarepair hizo vitu +maradio , in few months I fire him I already have the skills to repair phones n radios , in the few months I have stocked my kibadaski with phone accessories chargers, power banks, earphones etc btw hii Ni field in a pesa mbaya hizi vitu Ni cheap Sana River road profit Ni 105% … Kinyozi iko nishahike price to kshs 100 kufukuza the dirty ninjas nanyoa mabudaa na mapank…so I nyoa atlist 5 - 10 clients that’s clean G …

Few months later by end of year a customer asks me Kama najua fundi wa stima huyu hajui Mimi nimesomea wiring n installation pale youtube …nakimbia nyamakima Mimi huyo nishamufanyia quotation I charge 50k kazi yote , natafuta fundi wa changaa namulipa 800/= kazi tunafanya usiku kucha , then najipeleka kplc namufanyia application , Kuna classmate hufanya huko namuchota 3k afuatilie… Months later kibadaski imejaa vitu za stima , mafundi wastimaa wamejua kibadaski yangu hununua zile vitu wamebakisha kwa site (haiya I have an electronic shop already ) …

Some months later nishaletea watu viatu za plastics , gumboots etc na pia na burn movies kwa flash disks na kuflash simu haiya kucheki bank account yangu chini ya matress na mathao nahama single naingia one bedroom … An year later Ni Mimi huyu naplan kuhamia kwangu 2021 m planning kufungua my own gas refill Depot si hiyo kazi inafanywa na wanaume , nishagundua hii lpg gas inaendewa Zambia Kama uko na capital ya 5million invest in me I refund you ikiwa 10 million I don’t write agreements

:D:D:D

Hehe, wueh…good luck

Na sasa kama biashafa iko sawa ivi mbona kingangarika ulitaka kujiua?

Niemanza kufikiria wewe machaa wa ng’ano za abu-nuwas…wewe ni ndii-see-eye… kweli ama rongo? you’re always here fising for leads albeit in a very humourous way. Sindio?Nakuchekia 18 brathe. good luck in that endeavour hehe

Vitu kwa ground huwa different.