Business ideas

Wadau, a friend of mine ananiulizia nimpee business idea anaeza anza na kitu ka 40K, anadai kitu ka machine ivi, atleast yenye inaeza mpea kitu kama 1500 per day as profit. Any ideas please leteni. Zitachangia pakubwa… sande wakubwa.

kusiaga mahindi (kisiagi) /posho mill

machine ya popcorn

40K inaeza posho mill? keep in mind ako na space CBD

Machine inacost how much?

go into car biz/ property
big leagues only

smokies and mayai boil

Hii biashara imesifiwa Sana hapa :smiley:

sana…:smiley:

ushawai ifanya? tell us more

Ongeza ununue zile machine kubwa za kupima weight

I have never struggled financially in my life to warrant selling smokies and sausages

Mutura iko na Pesa Sana

mutura nitauza wapi town?

room iko CBD bt si place ya kuunda mutura

40K ni Capital poa ya Kinyonzi CBD there is a lot of traffick hauwezi kosa watu…

We can assist you in shipping goods from the UK to Kenya. Check our fb page at Manex Cargo UK LTD for more info. Thank You