Burukenge

This morning with the help of mans best friend we managed to corner and capture a damn big Burukenge (monitor lizard, Scietific name gojeeni @Luther12 ) that has been terrorising my kienyeji chiken. Nimeifungia kwa cage with ideas of charging people to come and see it for a fee ofcourse lakini choices really do have consequences, wife amepack na ameishia ocha
[ATTACH=full]6605[/ATTACH]

1 Like

Haugopi inaweza ruka ikuume mguu :confused::confused:

hehehehe, there has never been a reported case of a monitor lizard attacking a human being. Hii kitu inauoga sana kaa @ol monk akiskia anatafutwa na @Njamba Huthu @Purr_27 unacome kuiona saa ngapi? wewe hutalipa.

1 Like

nice

heheheh eti wife ameenda?

Eti nice:confused::confused:

hehe I like seeing wild animals

Hata those small lizards can make me not bathe…if i spot them on the ceiling in the bathroom…nikija mombatha will let u know ,kama
utakuwa bado unaifuga

Like the one kwa avator? Wild animals are ok but notreptiles

1 Like

Kuku wa kwenu ni waoga aje wanaliwa na Burukenge? Za kwetu zinafukuzanka wanawake.

1 Like

hio yote ni mkia?? waa

Sasa ni jogoo(Cockerel) ama hen huwa zinafukuzaNka wanawake omwami :rolleyes::rolleyes:

2 Likes

Chunga KWS wasikupate…

how now?

women are naturally afraid of reptiles, even small ones. sasa wakati niliweka hii kwa cage amidst her protests akasema haezi kaa huku.

2 Likes

KWS nao siwameshindwa na kulinda elephants na rhinos, infact they should compensate and pay me for feeding their creature and for all the chickens it has eaten. Bill yangu iko tiyari, acha wakuje.

1 Like

Hiyo mnyama ni ndefu aje? Ukifuga utailisha nini ndugu? Pea KWS mali yao wabebe.

…i meant mbisha ungeweka mbili. ya mjusi na ya wife akipack na kuishia ocha…:wink:

I saw one like that in Thika

Omwami utafyeka nyasi lini,na pia weka mbicha ya f.t.a

1 Like