Purr_27
February 28, 2017, 9:35am
1
Flying squad were trailing some thugs along baricho road…1 thug is dead just a few metres away from Homeboyz/X millionaires.Some run away towards enterprise road, while 1 was shooting in the air …mwingine ameuliwa huko ndani
Picha ya maiti sina ,but kiatu yake imetoka
@akina @imei2012 @pamba n @kiLo - ,I wonder how you guys stand that gun fire sound. The police have loudly shot more than 15 rounds …adrenaline rush imefanya watu waumie wakihepa
@Meria Mata ukipata picha weka pliz
24 Likes
pamba
February 28, 2017, 9:37am
2
Come nibuy mguu ya Mbuzi.
15 Likes
hehe hii statement imenimaliza " Picha ya maiti sina ,but kiatu yake imetoka"
:D:D:D:D:D
27 Likes
nimeskia hizo gunshots nikiwa inda kwa kazi ya muhindi
1 Like
…Ulipona tumbo kabisa semeji?
1 Like
@Purr_27 ulikuwa untoka millionaires saa hii?
14 Likes
Purr_27
February 28, 2017, 9:46am
8
Just imagine if you were near ni kama zilikuwa ndani ya building …hadi tumbo imejaa maji
Those cops look no non sense …even the female ones
2 Likes
Mbona watu wakipigwa risasi kiatu utoka
2 Likes
Purr_27
February 28, 2017, 9:47am
10
Kwani uko area …hauko kileleshwa
1 Like
hehe. Acha nikuje nione hizo mahiti. Napenda sana kuona wakora wakilishwa ndengu.
Ata juu ni lunchtime, nakula nyama leo in celebration juu ya hii story
1 Like
Purr_27
February 28, 2017, 9:49am
12
Touchlyrics:
hehe. Acha nikuje nione hizo mahiti. Napenda sana kuona wakora wakilishwa ndengu.
Ata juu ni lunchtime, nakula nyama leo in celebration juu ya hii story
Kuja upige …you post , mimi siwesmek hapo
1 Like
luigzy
February 28, 2017, 9:53am
13
Si nilifikiria wewe ni fulltime bettor pale predictjon kings
2 Likes
Purr_27:
Flying squad were trailing some thugs along bunyala road…1 thug is dead just a few metres away from Homeboyz/X millionaires.Some run away towards enterprise road, while 1 was shooting in the air …mwingine ameuliwa huko ndani
Picha ya maiti sina ,but kiatu yake imetoka
@akina @imei2012 @pamba n @kiLo - ,I wonder how you guys stand that gun fire sound. The police have loudly shot more than 15 rounds …adrenaline rush imefanya watu waumie wakihepa
@Meria Mata ukipata picha weka pliz
[ATTACH=full]85935[/ATTACH] [ATTACH=full]85936[/ATTACH] [ATTACH=full]85937[/ATTACH]
one officer also shot and injured
2 Likes
Purr_27:
…even the female ones
Alikuwa kama huyu?
[ATTACH=full]85938[/ATTACH]
2 Likes
story ni nini? Walikuwa wanachorea hiyo CIT ama?
[ATTACH=full]85939[/ATTACH]
@Purr_27 ni kiatu gani imetoka?
Weka mbisha zingine pwana.
1 Like
Jimit
February 28, 2017, 10:18am
19
Picha ya maiti sina, but kiatu imetoka :D:D:D:D:D::D:D:D:D:D:D
am dead
1 Like
Purr_27
February 28, 2017, 10:20am
20
This one was the one shooting in the air ,kumbe amekutana na polisi escorts
Kuna mwenye ako karibu na homeboyz …wearing sport shoes ,wamemchukua like 10 minutes ago
1 Like