Bunge la EAC lapitisha Kiswahili kuwa lugha rasmi

Bunge la East Africa limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili Kuwa lugha litakalotumiwa na nchi zote east Africa . Haya mambo yakisisitizwa na kupitishwa na Tanzania.

1 Like

Endeni mkikauakanga

1 Like

Haya…mimi na ujaluo wangu kiswahili yawa!

:D:D:D… Source please. Plus, Tanzania ndio EAC? Si wanajidai kutoka.

Askari jeshi wa kenya tumekataa. Lol

Being the first to reply on your own thread clearly states that you’re already miles away ukikaukanga.

Rwanda and Burundi is already fighting to learn English and ditch away its French from the colonial times, Uganda already does English, Kenya is far ahead in both English and Swahili (not in writing though). Who the fwerk cares about TZ and her Magufools in this age of times?

6 Likes

i support this , infact kiswahili should be the official language of Africa

3 Likes

Hii tuliona last week. Mapya?

si lazima kuangalia shamri la GDP kujua uchumi wa nchi ulivyo kuwa. Bali ni masharti au mwenendo wa mkakati walivyopanga. Si lazima unauzaa nchi yako kwa China na wengineo na kufanya wajukuu walipe ufisadi wa wachahe. Ninasema mtoto ana tambaa akitumia mguu moja. Tafakari hayo

I always suspected that you are a luhya. You have now confirmed my thoughts.

1 Like

Sasa watu wa danganyika watasaidika kivipi ndugu makufudhi? Educate m priss

1 Like

Pathetic swahili.
Why rush to create a handle that you cant act like it? Ata si ungejifunza basic swahili kwanza.

JAKENYA ULITAHIRISHWA KWA CHUPA ? RUDI KLIST UTISHIE MANGOMBE SCHUPID

3 Likes

hehehe this is how we were reasoning in 1970 with kina singapore 30 years from now this fools will say mugfools was dickitator like moi MUhehehehe!!!

1 Like

:D:D:D:D:D

MKAMBA SINGO MADHA NIAJE ,

CC @FieldMarshal CouchP

:D:D:D Ile vibare @Mtanzania Magufuli amepokea hata siongezi chochote. Hamna haja ya kuchapa punda aliyechoka.
He he he…

Poa sana, Omusinde!

HUYU AMEKUAMBIA VIZURI

Hii tulisoma 2002 wakati wa Nyayo.

1 Like