Wadau Leo ndio Budget kuu ya serikali kwa mwaka 2018/2019 inasomwa.
Naomba tupeane yanayojiri kule kwa mzee ndugai kwa walio karibu.
nitakua nawaletea habari kadiri ninavyozipata kutoka kwenye sources nyingine.
ADIOS!

Kudos
Hawana jipya.
Tutarajie bajeti ileile inayotegemea soda na bia
Mwisho wa Mwezi naenda kununua Pombe za kunywa mpaka December!
Konyagi Jilusekelo 20 zinanitosha, hizi zingine ntakuwa nakunywa mdo mdo halafu naenda kushushia Nyagi.
Nimesikia tu wamefuta kodi kwenye pedi, mengine sijasikia