So my friend changes his imei akisaka bundles za saf…ile imei aliweka ilikua ya simu imeibiwa nokia xperia m2…hakuchange imei back…huyo amekujiwa na cid juu imei ya hiyo fon inasema ni stolen…so akaprove ile kazi hu do ya bundlea akaachiliwa na hongo ya 23k which i had to kuchanga 7k juu si huuza mbs pamoja…b careful n mwitu za saf …
Pwagu kapata pwaguzi.
mimi nikipata hizo mabundles ntazichangamkia tu…
hata una bahati wewe…inakuanga 60k…
Ata mm si ati nliacha kuuza juu ya hiyo drama…old habits die hard
NOKIA XPERIA M2
WHICH FUCKING PHONE IS THAT???
Sisi ndio tulikua hao makarao… angalia sasa unajianika
Mimi nikikupata ntakuchangamkia tu…
Ha ha haMbari ya kupotea …wacha nisikuchokoze usilie
@imei2012 waitwa hapa
you’ll be arrested on your upcoming wedding day…
hehehehehe kama ni siku yako ni yako
hehe the only thing that can make me cry is your kiss…tears of joy : )
hapana, hakuna mtu alizaliwa na siku ya kushikwa…heshimu mali ya wenyewe na utaishi vyema, kama mimi so far…siku hizi nimekuwa preacher but i am seeing too many young men and women throwing away their lives for cheap reasons…
Nokia xperia m2 ndio phone gani? Nyinyi mliibiwa bure. Na si imei ya simu huandikwa hapo nyuma ya simu?
how was your life condition and habits 25 years ago. wachana na vijana watazeeka tu kama weweel
Na pia ukatuma hio Imei kwa 1555 itakwambia if that Imei belongs to that handset, Nokia xperia
i was young and reckless, but i heeded good counsel from older, more experienced mentors…guess when i dole out advice am paying my debt…
lorenzo mtu hugenerate aje izo coder alf huziload aje?