naona wasee wa bundles mwitu za airtel 4gb wanafanya remote loading ,hii mambo ni rocket science ama?
ilianzanga tenee
Inaendelea especially around Kahawa WEndani na Roysa.
Unafanya na simu ya Tecno na Infinix. Jana nimeload 8gb. Kuna fala aliload 102 gb line ikafungwa for 2 days alafu ikawashwa na 4gb inside. Around Wendani.
Ata Safaricom ziko pia. Niliweka 1gb.
Ata Safaricom ziko pia. Niliweka 1gb.
niokolee na valid code kwa inbox nitest
Mimi sina simu ya Tecno ama Infinix, ningekuwekea. Plus i have kuweka line kwa io simu so that it can feed it directly. Unatumia IMEI Analyzer app plus set the phone appropriately kwa radio information bla bla bla. Its a whole lot of process yenye unless niwe na io phone kwa mkono naweza make.
safaricom please hit my inbox
hah leta code… mtk base tumefika
Mbona huja include hood yenu pia, Zimmer, ama huko hawakuji?
Yeah. Roysa by extension includes both Zimma and Kasaa
oh fiti fiti wacha ntaangalia kama wamefika huku kwetu Lavington then I will keep you posted
Lavi, Kilimani, Hurlingham na hao wa Ethiopia hivi hivi
Code Ya airtel inbox me…
Mimi sina simu ya Tecno ama Infinix, ningekuwekea. Plus i have kuweka line kwa io simu so that it can feed it directly. Unatumia IMEI Analyzer app plus set the phone appropriately kwa radio information bla bla bla. Its a whole lot of process yenye unless niwe na io phone kwa mkono naweza make.
wewe ebu saidiana code

but kuna process yenye si lazima msee akue na simcard yako ata ukiwa garisa atakusetia,hamjasikia hiyo? btw kuna hii code ya 5gb airtel 358265016779230
chezea chini bro. usimwagie watu wengine unga.
inbox code ya saf

chezea chini bro. usimwagie watu wengine unga.
wazi wazi