Wadau Kuna buloti nmeitiwa na discount huku matuu area 20 by 55 .
Kuna stima na maji bei ya jioni 100/= .
Place iko na wasapere na ni kikundi ya wababa inauza
Utajengea kuku halafu wewe utaishi wapi?
Ni ya kuweka bei ipande niuze .nko na BOMA na several other lands mdau .
Mwenye utauzia atajengea kuku halafu akae wapi?
Take it. An acre was going for 300 kitu 2020. Kwanza hio 100 ni mob