Building progress day 10

Roofing work … For this part I had to get a professional to do that work …

Anyway upto this point Ave used roughly 160k …

It’s 3 roomed ya hustler wa mtaa …before ninjenge mansion nanihamie runda [ATTACH=full]341640[/ATTACH]

160K? Wapi huko?

Congrats…

Did you personally oversight everything? So rent ya 15K-30K inakuanga imejenga Nyumba by the end of the year?

Congrats man am in the planning phase of my retirement home Virginia county… Sewer umeamuaje septic tank am emerging trend biodigester?

Flat roof. Columns ni za nini? Kama ni future expansion, mbona imekorogwa bila vibrator? Anyway umejaribu na usalimie mojos wa gas na husseini wa glassmart apo section 9. Waambie injinia anataka za mecho na ako mbaya saidi

Endelea kutajirisha landlord.

Ndio nimeona!

Sometimes Mimi hununua gas kwa Mojo’s nice man

Huko ni wapi mnajenga na 160K?

Yap …

Was planning kujenga ka orofa kupigiwa hesabu nikaona wacha ningoje niomokee

Thika … Materials are all over

Hapa Thika?

Plot ni mangapi? Place accessible but not too close to the road as to be too expensive… Si ya fiashara

Juu unshitaji mangapi hivi?

I have some assets I may liquidate and get me a decent place… Heri nikodishe nikikula nina Nyumba kandi na ocha

Hacienda inatokelezea. Congrats.

“Run and if you can’t run, walk, if you can’t walk crawl but by all means keep moving.”- JM Pombe. circa 2020.

Great job, congrats!

Bio digester lakini uiite professional, it’s very much cheaper kwanza ukiwa na materials kwa site

Poa bana but washtue. Waambie msito anachafua balozi mahali flani na anaongesa hunters badala ya Ile kitu na ata stima amepotea
[ATTACH=full]341687[/ATTACH]

Congrats man. This is great. All the best!

But prices naona mafundi wana quote huko mukuru ni astronomical ati 200 plus na ni new tech huko ocha

Kwanza huko mukuru hao mafundi wengi ni mascams. Is that inclusive or exclusive of materials

Mwaga materials site, ballast, sand, and small (6) quarry stones, wire mesh, na tuchuma. At most,20-30k ndio atacharge. This is exclusive of general plumbing of the house. Hiyo hues price yake kando