Boychild namaliswa banae

Watu wengine genetics iliwaonesha mido finga

huyo dem ame train but bado wako same weight class na hio ghassia

Itabidi huyo jamaa arelocate aende mahali pengine. Hii ni mchoro buana.

hakufi? mbona hakufi?:D:D:D:D

aiyayayayayayayayaayay never ever!

Hii ni kichapo Cha mbwa

He he slam after slam

Ngumi ya manzi haiwezi umiza.Lakini uyu jamaa kwani akona 2kgs!

I bet the guys here can get their asses kicked by the top female MMA athletes like cyborg

Wow that guy is @Mi Si Nyayako

Nimeangalia hizi comments nikaamua io video acha ibaki

@Tony254 kuja uone vile manzi yangu atakufanys

I can hardly beat any womam, awe mdogo, mkubwa au size yangu.

Inspekta mwala detected

I am 1.98 chief, not a pygmy nor a flag post.

matter core