Boring Sunday.

Just finished watching “The Gunman”, si mbaya. I have to step out and get something to watch, drink and eat. I have settled on Blacklist season 2, Konyagi 1/2 and matumbo.

1 Like

Si kwa ubaya lakini matumbo haitakusaidia, zero nutritional value.hata mawe iko afadhali juu iko na minerals.

4 Likes

howdy switts…you need company? @Mundu Mulosi

monkey…you been well? @ol monk

You also learnt that from US Navy nutrition training series?

2 Likes

Well, at least i know something and i’m sharing, you on the other hand are a village Elder and the best you can do is criticise, what good have you ever done to deserve that title.

1 Like

@Supu don you welcome honey. Mtaa ni 17B.

Kuja kasarani Vantage nikununulie nyama uachane na rubber.

1 Like

Vantage Kasarani

[ATTACH=full]7266[/ATTACH]

[ATTACH=full]7267[/ATTACH]

            Nimemiss matumbo(ya mbuzi by the way).

yaani umetoka nnje ndio upige pic…acha ushamba

3 Likes

nilikua nimeenda to pick something from the parking lot lakini mimi bado ni mshamba sio mzaliwa nairobi

u just made me sad

I like, naomba unipe number yako.

dont be sad for me please. I would be sad if I have to take time to think over how you will get married by force to that guy that is also humping your aunt now that would make me sad. au sio?

1 Like

Can you see sarah Macharia hapo chini Jazz?

Gani aki? kwani unataka kunibaia nini?..OK ya kiatu 5&1/2 I looove stilettos…ya chest ni 42 I love white & red strapless…waist ni 28 plain jeans

1 Like

si hii meeting ihappen mbio mbio na tuwekewe picha ya
@Mundu Mulosi , @The_Atheist , @DO_IT na @Supu don

u kidding love …hiyo ni mtaa yangu…ebe athiest akupeleke maskani yetu…

looks like klist yote ni ya mwiki…

1 Like

hv bn sweet as always…enjoy ur sunday…