Boring sunday / hangover sacco

Nimeboeka yangu yote leo nikaamua kuenda kutoa non existent hangover.

Nko hapa kuhura kanua @kasaman where art thou ??

Kwa nyumba watching shamba shape up,hangover is real

Salimia Sarah.

Wacha nikutumie link kwa whatsapp

Naona Sunday cartoon KTN nikingoja watoto watoklezee from church.

Been very busy with this and that chore around the compound since morning like a responsible man should.

niko undisclosed location na momo

Niko 60km from Naks a place called naishi , hot and dry !

Make sure you go to church next time !

Nimeona naishi, kuna ule jamaa anafanya road water harvesting na kulima, unamjua ??

Siku hizi hi Ungazetted locashen

Nko kwa home-desk hapa kazi tu lakini WD41 ya kitambo, imeisha inabidi niibembeleza na kifuniko mdogo mdogo for the syc.
[ATTACH=full]130940[/ATTACH]

[ATTACH=full]130941[/ATTACH]

Kwa shamba kupalilia methi seedlings

Naona ma hatch tuu

Hizi ni nini?

Zinakaa Oxalis

Miti shamba kutoka Ethiopia/India.

Jina ya kizungu bana… Na unalima wapi?

Will do.

Fenugreek/Methi any can do. Nafanya experiment huku naks…small scale.