BORING FRIDAY

Traffic leo iko down kwani watu hawana bundles
#Tunataka hekaya ya siku.

@Col Kakende njoo hapa

1 Like

I have so many threads to read… I can’t keep up! I see more than 10 comments…I pass the thread for later… I can only respond to the 0-2 comments!:D:D:D

2 Likes

same here…

kusema ukweli even biashara is down hakuna pesa leo

2 Likes

Ni kurewo turirewo mapema tuende nyumbani kabra mabibi wakasirike watutoe makagari

2 Likes

Kanda ya Jikaze niaje mtu nguyas.

@The_Atheist kuna hekaya kadhaa haukumalizia

Niko sambamba kama muchuthi wa ngara

Ctaki kupigwo equator na old manki

Thawa thawa…inuka tene manyee macio maku matikarengwo Magiri akona magucuna cuna

Apart from hio mikasa mikasa miwili, sijawahi kumbwa na lingine buda… Learnt the hard way…

1 Like

thanks for your clarity @Col Kakende , @Ka-Buda njoo!

tutakutetea

[quote=“bjurmann, post:10, topic:62493”]

Thawa thawa…inuka tene manyee macio maku matikarengwo Magiri akona magucuna cuna
[/QUOTE
Peleka usapere kwa thread ingine[/QUOTE]

siko sure kama nikunywe fombe reo hapo thika ama niwache

http://pulpfactor.com/wp-content/uploads/2009/11/Demotivational-Boredom.jpg

kama uko county sema ng’wee

Niko nairobi ,shika simu fala hii.

wewe pampers hujajua call waiting? wakati unapigiwa ukiwa kwa call ingine inaingia tu na unaeza kata hio call ingine ushike the incoming call

Hahaha,i’m behind the technology and ’ blame’ it on my communication skills tutor.