Boresheni Kenyatalk

Leo Rais Samia Hassan Suluhu anafanya ziara ya siku mbili nchini kenya, Pamoja na yote lengo la ziara hiyo ni kudumisha uhusiano baina ya nchi hizi mbili.

Kwa muktadha huo napenda kutoa ushauri kwa uongozi wa Kenyatalk kuborsha mtandao huu pendwa unaotumiwa na watu wengi.
Ni vema mkaiga Jamiiforums ya Tanzania ili kuboresha mtandao wa Kenyatalk

Maeneo ya kuboresha

  1. Muonekano wa mtandao hauvutii umekaa shaghala bagala jifunzeni Jamiiforums ya Tanzania

  2. Matanagazo yanabore sana, kuweka tangazo kwenye threads inaondoa ladha ya thead.

  3. Kuwe na contents adminstrators kwaajili ya kufuatilia mjadala inayoendelea hii itasaidia kupumguza mijadala ya hovyo matusi nk, pia itasaidia mpangilio ya threds mfano heading ya threds kuwa mara na cap letters nyingine zinakuwa small letters ni vurugu tuu.

  4. Kuwe na offical app

Asanteni

Rudi ile shimo umetoka

Shimo lipi tena?

We wajua shimo ngapi. Huko kuna mitungi?

Weka hoja acha viroja mazee

Jibu swali, mitungi ipo iseee

Tz ni shithole.
Hatuwahutaji.

Wakenya mnapenda kujishaua na kujishebedua kweli!

Kama JF ni bora, nenda huko kachangie. Hatuwakati KENYAtalk. Nyinyi si waKenya. Potelea mbali!

[ATTACH=full]362788[/ATTACH]

[MEDIA=twitter]1389523951638962180[/MEDIA]

Ubaguzi utawamaliza dunia imebadilika sana

JUkwaa linasura mbaya kama mademu wa kenya egeni au hamieni hapa https://yetutalk.com