Nimetembea hio town inaitwa Bomet and by the look of things, si place mbaya ya kuinvest.Ni a growing town with a new University which has opened up the town.
Nimetembea hapo kidogo na nikarealise hata place ya pombe ni mbili tu and even wonder how the students survive huko.Vitu kama PS na place ya movie hakuna.Ningetaka mtu ako willing kuinvest ajaribu hio place.Inakaa viable juu hata nyumba mingi ni ya bricks tu and hazitoshi wenye wako huko.Nitakua hapo for a few days na mtu anataka kuinquire anything aniulize ntajibu tu.
Ningekua na pesa ningejenga buildings hapo za biashara nione…
50*30=1500 not bad…ama hawachukuangi 50 kama traffic… Huku kiambu waititi ako lakini bado tunakazana.
Naweza enda reconnaissance huko ya base ya keg,nishike ma students.