Blueline wears female undergarments prt 2

… Saturday finally was there with me. The day started out well, business as usual. We chatted with the lady throughout the day and our date was confirmed. Afternoon ikawa ndefu sana lakini hatimaye jioni nikafunga job.
I rushed to my place nika freshen up nikachapa glass ya maziwa baridi nikagawa pesa na nikachomoka kuenda kuchukua momo yangu karibu na kwake. Sisi ndio hao hadi kwa klabu. Drinks kidogo, we made idle talk and i beat her several old wives tales. She had one of those genuine, beautiful and childlike smiles you will ever see. Goat ribs zikakuja tukararua na kuendelea kukunywa pole pole tu mpaka around 12 pm. We were kidogo inebriated. Nikajua hapa vagina napewa bila upingamizi. I suggested we go to my place but she wanted us to go to her place as she had the place to herself. I told her i would get us a room nearby kulikuwa na several motels but she was having none of it. At the end there was no other choice but to go to her place (big mitsake).
So we took a cab and went to her place. Apartments zilikuwa na 3 floors. Tukapanda mpaka 3rd floor. She had a decent place, we were on top of each other after she locked the door, undressing in a frenzy almost tearing our clothes from each other. Tukatoka sitting area tukaingia bedroom and i attacked the vagina like it haf wronged me. I attained the threshold and we had small talk and then we fell asleep (another big mitsake).
Asubuhi tuliamshwa na mjamaa akikoroga ki waria kwa sitting room. Kidogo nikaskia akisema ‘aye Iftin kuja ona’ jamaa mwingine naye akaanza kuongea kisomali. I dont know where a sudden urge to fart and pee came from and i unleashed a loud fart.
Kuangalia momo nikaona nikama anataka kulia. Nikaona hapa leo nakufa ilikuwa around 7 in the morning. Majamaa wakaingia bedroom wakikoroga kisomali.
Nikarukiwa na kupewa kichapo. Momo naye anachapwa slaps akiulizwa mimi ni nani.
Nikashika jamaa mmoja shingo nikakataa nayo nikasema kama nikukufa tukufe wawili. Ndio nikaachwa kuvamiwa. Momo akapiga nduru wakaacha kutupiga wakampuzika. Jamaa mmoja alikuwa na taxin kwa mdomo akafungua mlango ya bedroom balcony akatema taxin. Mwingine akaenda akafunga mlango ya main door. Sasa bado walikuwa wanaongea kisomali yenye sikuwa najua wanasema nini.
Momo akasema hiyo nyumba ni yake na ata kama alikuwa analipiwa haimanishi haezi leta guests. Akapigwa slap akaulizwa kwani analipiwa nyumba afanye umalaya. Saa hizo nilikuwa na boxer tupu na yeye ako ndethe, nguo zetu zilikuwa hiyo room ingine. Nikaambiwa nitoe boxer, kuenda kuzusha jamaa mmoja akatoa upini. Mimi machosi ilianza kutoka nikajua hapa labda nitakatwa kende ama nifanyiwe kollaboresheni design ya wale kumi bora wa mwambatha…

22 Likes

lazima uliacha mukarara kwa bedsheet with that kind of fart:D:D:D…part 3 twangoja

3 Likes

NKT!!! Malizia hekaya, I’ve just withdrawn my like

Where is part 1??

2 Likes

:D:D:D malizia hekaya buana

1 Like

swafi sana…

1 Like

Hekaya iko swafi. Sasa leta part 3

1 Like

:D:D:D:D:Dsasa time ya kunyamba ulitoa wapi. hii ndio naita kuonyesha dominance. you did it well brother

9 Likes

:D:D:D:D why did you unleash a loud Fart? ama the feeling of helplessness released all muscles in the body ukawa kama mzoga?

5 Likes

:D:D:D jamaa ana mark territory ya bedroom ya wenyewe with a Fart. SAITAN! na msomali ana mark na Taksin

4 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/blueline-wears-female-undergarments.54503/

Kumbe @blueline Mkarara ilianza kitambo

:D:D:D:D:D:Dati utakatwa kende

na wewe mzae how many times have u been in this awkward situations where ur forced to remove your pants, si ni we yule karao alikutoaga ngotha area za ruiru ama njiru juu ya bizz, kaa chonjo, next ni boot utafunguliwa, meanwhile waiting for Part3 eargerly

2 Likes

wacha kuchemsha bluemoon asubuhi mjamaaa

5 Likes

:D:D:D:D

1 Like

Lakini mechi za away punguza mjamaa. Haina haja upoteze mjulubeng eti imechinjwa ukiwa away match

1 Like

Tension and a sense of looming danger

1 Like

@blueline umezoea kuweka hekaya nusu nusu, weka full ama tugome

:D:D:Daway games never, kama si man cave ni hotel room if not wacha ikae, imagine explaning to wife why you were running butt naked on TV baada ya kupigwa kama burukenge

1 Like