Vipi @Deorro and other I.T Gurus, hii error inablock my downloader from downloading files. What can I do?
[ATTACH=full]73361[/ATTACH]
Download na browser then copy link uweke kwa idm
Lemme try
Nimetry, imekataa. Inabring the same error.
Kama ni game si uitoe Torrents
That will be very slow. Natumia oceanofgames since wako na clear installation procedures. But acha nione what I’ll do.
I have never encountered shida lolote na ocean of games.
Shida si kwa site, it seems kuna program inablock my ability kudownload.
Only two programs can do that; firewall or antivirus. Check their logs
deoro niaje uko NV hapa…
Nipatie like niwe Village elder
deoro acha kunicheza nikam mimi ni NV na naona staff member imepachikwa hapo…
Mimi hufagia ofisi za ktalk huko Westie
:D:D:D:D
Niaje @mayekeke , handas zinakupeleka aje leo?
Niko Space bday ya Creme, hii joint haikubali mbuzi ndani, imebidi niseti kasenge kwa ngotha, saa hii zinanirarukia.
nategea solution ya hii problem pia