Blind date gone bad part 2

(morning)…after kulala kwa sofa…kuamka napataa dame hayuko kwa bed ako chini kwa carpet…amekaa tuu…but naona mkojo na vomit zimetakaa all ova…l was mad as HELL but nikaplay cool…nikamsalimia MORNING …dame haongei…nikamuliza tena uko sawa…dame bado ako bubu-style haongei…ananiangaliya kama vile dogi huangaliya mtu akitafuna mfupa…(halafu mimi hushindwa inzi hutoka wapi mahali kuna MAVI)

l was getting pissed off…dame amejikunia then hataki-kuongea…sasa mimi nifanye nini?
l hold her hand and told her usijali…enda bafu you shawa…(bado haongei) l showed her the bathroom…na saa iyo akitembea trail kama ile ya KONOKONO inashow kwa carpet…

she went to the shower nami nikatoka kuchukuwa maziwa na kubuy toothbrush yake…kurudi nikapata bado hajatoka…alikuwa anafua izo nguo zake ziko na SHONDE!
after a while nikaskia ameni-ita…swali ya kwanza aliniuliza ni NGUO NITA-ANIKA WAPI?
l was like WTF!…Nika mshow lines ziko NJE…l gave her a towel na akaenda kuanika…
then kurudi akachukuwa bedshit anadai kufua…nikamshow tulia kwanza kwani utafua hadi Mattress

She started apologizing sijui pole for yesterday l was abit stress ndio reason nilikunywa ivo…
for me l just wanted her to leave and delete her number…l gave her the toothbrush asuguwe mdomo …
l had to find her my T-SHO to wear and my favorite Manchester short juu hageshinda kwa nyumba na towel na syke za DRY FRY zilikuwa zimeisha…

sheets za bed alifua but sasa mezesha ilikuwa kutoa mattress nje ndio ikauke…the awkward silent ilikuwa kwa keja…ata nikiweka ngoma za vybz kartel bado…ilikuwa awkward moment…nikadecide uyu dame manze wacha tu-aende …nikamshow MANZE MIMI NATAKA KUENDA NASIWEZI KUACHA UKU…DAME ananishow wacha nitaenda JIONI nguo zikikauka…aaaaaarg nikamshow apana unaenda saa hii…WEKA NGUO KWA PAPER-BAG ZITAKAUKA MBELE! …Dame anajifanya anatakaa kulia but nikasema hii RACHET wacha iende kwao… mimi nikavaa nanikachukuwa PAPER-BAG nikaweka manguo zake…nanikamtoa nje nikafunga mlango…na nikaenda base tao…uzuri ilikuwa sunday sio watu wengi walinotice iyo Drama…

fast-forward nikarudi kejani jioni…and the smell was even worse…vomit ilikuwa hadi chini ya BED she didnt clean it…manze sijawai-teseka ivi juu ya PU$$Y…l had to clean that shit na mkeka nikatoa nje sikuweza kuiosha nikapea caretake ikuwe yake…bedsheets sikutupa but iyo ni siku mimi hu-wish izo pesa walai afadhali nigebuy KIATU ama CD ya ngwati…

she later texted me after 3 days PLIZ CAN WE MET WE TALK?
nikajibu IN ANOTHER LIFE!!

kweli fombe na ku"ma haziendanishagi

8 Likes

team mafisi currently in a meeting over the ending of this story, duru za kuaminika zinasema watakutoa kwa club ya mafisi

7 Likes

Vile @Fala 12 amesema hapo juu.

Nikka can write, not a bad ending.
P.S Just realized that am an elder. Bash ni wapi?

@Fala 12 am the chairman
@Mundu Mulosi mimi niko team HKM
@Web Dev bash gani tena

BADO MI NINGEKAMUA HIYO NYANGAU

1 Like

hapo @tls umeangusha team mafisi,ungekula huyo mtu kama revenge.ungebuy vega 100 vile @uwesmake alisema.unaswaga mtu hadi keja inanuka tyre imechomwa

Is there anything you can not “kamua”?

1 Like

Drama…

huyu hata carcass atakula

HATA MAMA YAKO NIMEKULA

I REFUSE TO ARGUE WITH A WATCHMAN…EAT SHIT YOU STUPID CUNT

Ungekula hata kama, na hasira kwanza.

Nita comment message zikifika 60.Hizi hekaya za kujaza server zimekuwa too much.

TLs jo hapa umetuangusha team mafisi!

[ATTACH=full]4193[/ATTACH]
@uwesmake and those who dry fry mkia, hivi ndio dame hukaa after kuzoea HKM brakes zinakatika.

1 Like

Hehehehe. Noma sana

That’s nasty. EEEW

JOHN DOE TOA HIYO BOSS

bedshit, haaa, :D:D:D:D:D:D

1 Like