Biwott

Ex-Minister Biwott to be buried at his home in Toot Villayge in Elgeyo-Marakwet
[ATTACH=full]113412[/ATTACH] [ATTACH=full]113413[/ATTACH] [ATTACH=full]113414[/ATTACH] [ATTACH=full]113415[/ATTACH] [ATTACH=full]113416[/ATTACH] [ATTACH=full]113417[/ATTACH] [ATTACH=full]113418[/ATTACH]

1 Like

Huyu mwanmke mzungu vile alikua anasalimia Uhuru akimwita my friend inakaa alisikia kabaridi Biwott alipokufa. Hiyo mali yake itakujiwa na watu hatajua ni akina nani hao.

Lakini kanakaa kafighter, ngoja tuone.

Mbona sioni gold hapo ama ni furnish ya gold imetumika :confused::confused:

4 Likes

was also wondering what happened to the gold casket, inakaa tulienjoiwa tena.

3 Likes

So the gold casket was another fake social media news.

3 Likes

ES,burial ni Leo ama kesho?Capiro FM wanasema ni kesho

Those were fake stories…ati Jaguar hearse…Gold, bulletproof coffin!!!

3 Likes

hii mambo ya Biwott haieleweki

1 Like

Kwanza walikuwa wanadai ati itacost 2.5 mirrion chillings!!! :eek:

Watu walikua washa nunua shovels wakachimbue sanduku ya gold msikonde

9 Likes

Nyinyi wote kuna mtu alisave zile coordinate za hiyo home anisave nazo. Nataka kuishia huko

Alafu mbona hawajatumia ile Jaguar. Hii benz tulisha izoea pia

Ampunzike, safari yetu sote

1 Like

Mazishi ni kesho, Thursday 20th

hiyo ya gold bullet proof coffin ilikuwa muhahe ya sochio mindia!

1 Like

Huyu venye hataki ata watu wajue lokeshen ya kaburi lake nashuku ni kama alishazikwa kitaaaambo na hizi ni decoy tuu…:D:D

9 Likes

Yote ni varnity

:D:D:D…Bullet proof coffin ndio asipigwe risasi akufe zaidi ya hapo??

3 Likes

The gold coffin was for a woman buried with it in Nigeria, i think she was wife to a certain leader uko… I think 2015 thereabouts

1 Like

Hii hapa…

Was wife to Nigeria Independence Hero

[ATTACH=full]113424[/ATTACH]

3 Likes