Biashara Car on sale

Nani anauza ka probox ka second hand for kedo 300k.

hapa utahitaji kupeana more details kama mahali kako, kapicha hivi

I think he wants to buy, not sell.

1 Like

Chunga probox ni zaidi ya 300k…utauziwa mawe kwa hii bei…

fala ni fala tu