Kuna mtu hapa analilia kwa bafu baada ya kumake bet ya 10k game ya Brazil vs Columbia.
hehe 10k ni pesa nyingi sana
Kwani hiyo listing ya anko imedissapear? Pole kuka. Waambie 10K SIO KITU[ATTACH=full]7525[/ATTACH]
Ungo nyam mbona unaweka mbicha ya bibi kwa avator yako
Hehehehe
me husema the safest bet ni btts, nvr place on 3way results
Brazil is overated
hii Copa nahata coz hio masaa wanacheza ni mwenda. 2am. naskia kalinuka Neymar vs Bacca
Brazil is still rebuilding, they don’t have those fierce strikers in the mould of Ronaldo, Rivaldo and they lack a killer instinct. It will take a while before they dominate world football.
eeh ,Nyam ni nani huyo kwanza ??:eek:
haha aling’oa listing usiku saa hii anawish angepelka pesa sabina joy
Hehehe am a seasoned gambler you dont place a high stake like that on a 3 way bet
hata aking’oa nilimwambia crystal ball yangu ilikuwa imenionyesha Brazil ikilala…
A good friend
niko strong ,
[ATTACH=full]7580[/ATTACH]
strong strong…
strong strong…
hiyo ndiyo kusimama kidete?
Ni kusimama tisti.