Betin League

Nimejaribu hii stuff saii na nimewin kama 10 consective bets
My option was over 1.5
Na odds zilikua za 2-3
[ATTACH=full]92654[/ATTACH]

Wow. Weka pesa mob sasa; personally siwezi cheza virtual games, i cant compete against a computer. I’d rather niweke pesa kwa Arsenal nione Koscielny ndio ameniangusha :D:D

Hebu jaribu Ile ya madogi kukimbia

Hiyo virtual bet uwork aje?

Naona uko hunting ground pale tinder…nisukumie odds kadhaa

a gambler should know… Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you’re sittin’ at the table my Friend call it a day

[ATTACH=full]92663[/ATTACH] [ATTACH=full]92664[/ATTACH] [ATTACH=full]92665[/ATTACH]

Haina ujanja wowote hii

Hehehe tinder ndo hunting ground siku hizi…betin league haina cha kupeana odds io time ni less sana

Pesa mingi itapotea haraka sana…from 100 to 1k in less that an hr…acha nitulie

Nilidhani mi ndo ule msee…tebu teach me your ways bana

hii kitu nilijaribu nikawachana nayo.

betin league izo games huenda zikijirudia like io correct score ya southampton na watford na crystal na astonvilla zilikuwa zimetoka ivo previous day.Goalgoal team kubwa zikiwa away sanasana huwa zinatoka gg bt io kitu ni kurisk…kunayosipati niliweka gg games zote zikaingia nikapata 16300

Sasa utajuaje correct score league ni mingi kwa siku znacheza

I had observed for quite a while…saa ii tafuta gg correct score ni ngumu sana kujua saa ii.

Sambazia your fellow peasants izo tips

Boss somethings i try when idle.Am a peasant to you and you are useless to me.Get a life

Uko na ujinga mingi sana… You so aggressive, are you on your monthly periods? I was not even referring to you cause I didn’t quote or tag you… Tusizoeane, you the transgressor in this case

mbona unatoa siri zako…you mean you are aggressive when you are on your periods?Then am different i dont experience that shait

Ngite! Leave me a lot. Peleka feelings zako elsewhere

0---------100 Real Quick

Na kuna teams specific unabetia ama ni random selection tu?