Bet Za Leo

[ATTACH=full]24034[/ATTACH] stake what you can afford to loose.
86% sure

After janaz matches nime collect 7pts kwa ile premier league yetu ya Ktalk Bet–
PS:siku bet game ya kwanza Norwich v Everton coz nilichelewa…u cannot bet game ikasha anza…lakini leo naona nikiokota points saba zingine
PS2:Cheki vile nilikuwa accurate betting Man u & Man City results …uzito hio
[ATTACH=full]24036[/ATTACH]

1 Like

Mambo ya multi bet nimeeka maximum ya 3 ata kama niko sure aje. enough disappointments from big teams this week.

Man u na barca jana…nkt

2 Likes

kwani Barca waliumwa …si niliwacha wakiwa 2 nil up

Iliisha draw.

2 Likes

niliachana na multi bets, one teams always spoils everything.

multi bet ni tricky… Alafu kwani walianza ku count extra time?

Just won 60/-

hehehehe betting sio ya nyukwa

1 Like

Pole sana kaka.

1 Like

Heheheheh nimeacha

1 Like

ingia pale betin ucheze virtual ,tip over1.5 ndio mostly huwork

1 Like

Ntajaribu…rate ya kuwin ni ngapu? Na odds ni ngapi?

win rate ya over 1.5 ni 79% odds ndio kiasi 1.2 hadi ata 1.6
single bet ni safe

1 Like

Liverpool and Tottenham are the most useless teams to predict on. It doesn’t matter who the coach is, they always disappoint when you least expect them to lose.

1 Like