Ktalkers,I want to set up internet kwa keja,of late kubrowse kwa ofisi imekuwa abit tricky.How is zuku for those who hav tried it?any other alternatives are welcome…
Zuku is wonderful, ask for starter package ile ya 1,200 bob.
Whea are u based ??
location??
muhimu sana…
Starters ya zuku ni poa kusurf pekee lakini kudownload utangojea mtoi azeeke weka hiyo ya 4k
niko tu nairobi
Hata mukuru kwa njenga ni Nairobi.
kuna parts za nairobi zuku fibre haijafika
Shida ni exact location. Watu wa areas za flats mob hupata service mbaya juu ya many connections per node.
Umoja brathe
Umoja zuku iko kwanza starter.