which food ndio unaweza pima smart
pilau yangu na kuku unalafia ukiwa main road?
which food ndio unaweza pima smart
pilau yangu na kuku unalafia ukiwa main road?
Fish fillet in coconut sauce
Mutton Curry
omena dry fry
Ikichomeka the smell hufukuza hadi mende kwa hao
Everything hadi sardines za @Nefertities
Maji ya chai.
Mayai boilo
Hii upus weka kwa general!
Better yet since imekua so popular itengenezewe category yake.
Pweza wa Nazi kwa Sima
hawa ndio huchemsha mayai na recipe
githeri na ovacado
Hii post haifai kuwa hapa…
rice with other ingredients all tossed in (pilau Njeeri!) with a side of fried mixed vegs (and especially cabbage!)…
nyama ya mbwa(@uncle nyam ) said hii upuss ipelekwe fb
My boiled water smells really nice.
@ Mkufuu ona hii maneno ulileta hapa,wanaume,wanaume wameshindwa kuoa,kazi ni kujipikia chakula?
Chinese fried rice, tamu sana. Mine I add a good amount of dark soy sauce so its more brownish.
https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcTCTORVFdT5GBvLeMTA4PA6ObBzwlPhk_EO2L1tCSiWDrDtbx4p
Mpaka wako na recipes za kuchemsha maji…God help the male of the species
:eek::eek::eek::eek: Ngoja kwanza niwaalike kwa chakula cha joini hivi karibuni nitawapikia chapati wa malenge ya aina ya “butternut” kisha nipakue kwa kitoweo cha kuku wa kukaanga. Mtapenda!