Beer prices yawa

Am at Amar club my best club and am told Guinness is now 250, it’s like beer rise prices are now effective in a number of clubs.Anyway wacha nikunywe zangu mbili theni nionshe rungu coz everything is under on roof

COOMER wamepandisha ??

Amar, Rico , ama kitale. Mambo niku ingia unasafisha kuni na kutoka like a boss in less than 10 minutes

Mimi nimekuwa nikibuy Tuborg (which is normally cheaper than Guiness) for 250 since last year. Kuuziwa Guiness 250 ni bargain msee. Kwani ulikuwa unauziwa how much kitambo

Mbirrrionea , did you know that the alcohol percentage of a beer lets say Turbog being 6.5%, the rest is H20. Sasa nitanunua aje 93.5 H20 for that amount ?Si ni hasara

Sio hasara juu ni a smart way of moderating my drinking. Beer is not expensive e.g Tuborg ni 250 tu. Mzinga ya kawaida kama Glenfiddich 18 years ni almost 10k. Unless useme wewe ni mtu wa makali which I would highly discourage juu ya health reasons. There is no point ukunywe KC ama Konyagi iko na high alcohol content halafu ujipate hospitali juu ya cirrhosis.

250 tht the normal price

Fombe hata niliacha, :smiley:

Bora wasiongeze keg

Beer can cause liver damage too.

Sure. But its alcohol content is significantly low. It is less risky than spirits.

Depends on how one is drinking.

FAXE ni 230 i prefer beer than makali

Brown skin ulitoa wapi pesa ya Tuborg? Sii ulisema unakaanga tuu kwa pub then wazee wananotice your beauty halafu wanakununulia pilsner?

Afadhali ukunywe konyagi nusu kuliko guiness ya 250