Be foward

Watu wa be foward, hii bei ni C$F pekee yake ama ni inclusive of import duty and clearance fee so that grand total amounts to this?

If it is C$F alone then it must be very expensive to import with befoward![ATTACH=full]376752[/ATTACH]

Hii gari ni mita mbili kwa yard KDD. Go do the math. Either way, mazda gari bure kabisa. Only fools drive mazda

Hii gari ni 1.4 kwa Yard.

Mazda ni gari safi sana

Grade?

Mazda ni upuss

Grade 4

Juzi nilikuwa na spin Audi A4 ya beshte yangu, it was good but not the out of the world experience venye wewe husifu German machines

Uliskia vile unashika barabara kama nyap ya vajo? Uneza linganisha kweli na kitu kama hio yako suspension inalia kama tarumbeta ukifika 110kph

:smiley:
In terms of weight nakubaliana na wewe inafeel mzito. But In comparison to Mazda, I didn’t notice any significant difference in terms of quality of ride.

It was actually similar to Subaru Impreza G4 nishawahi peana review hapa

a4 ni budget Audi, tafuta kitu kama RS6

That is a high end machine in German Category, it is like telling me to drive a V8 to prove Toyotas are beast. Obviously any expensive car is a beast, don’t matter the make

This car should cost between 1.3 to 1.6 max

Unaendesha gari gani Munene?

1 Like

Hapo naitikia kapsaa. I love Mazda’s I once had a Mazda 6 io gari ilikataa kufa kabisa despite not taking care of the car na kuiendesha ni kama Nina mapepo every single day. Pale Australia hua zinaenda kuenda

2014 BMW F25 M-Competition

Sawa. Ebu piga picha ya kifunguo nione…

Utangoja sana

1 Like

[ATTACH=full]376775[/ATTACH]iko swali ingine?

U think everyone here is a peasant kama wewe wa Mazda chieth, suspension inakaa kama imejengwa na maize stalks?