Be careful guys

This happened on a beautiful wednesday evening in small town called Makindu along Nairobi-Mombasa highway after kumalizia previsit ya shamba i wanted to subdivide. Nlijipata in a ‘popular’ club called Zuscar sipping my cold guiness. The club had very few people but juu ilikuwa weekday in a rural dusty town nlielewa. I noticed a group of 5 students 3 ladies and 2 boys na a petite dark lady akirombosa kurombosa peke yake kwa dance floor. The music was also extremely loud with the waiters very idle yaani kulikuwa kunaboesha mbaya sana though i was in the company of my one and only true friend Bwana guiness. Bahati nzuri nkiwa natoka kwa washrooms nlipatana na one of the male students who happened to be the resident dj nkamuuliza kuhusu venye naeza pata company akaniambia usijali atakuja penye umeketi bora ucheze kivyako. At the same time some guy overheard our short conversation akaingilia kati akaniambia bro hata usimind kam utujoin. Mimi nkajifeel nyumbani nkamjoin at their table alikuwa na beshte yake wakiteremsha KC polepole. Tulijuana haraka haraka akaniambia yeye ni primary school teacher akanionyesha hadi some whatsapp groups they shared as primary school teachers in that area politics kidogo tukilament venye uhuruto wanatunyonya. One of the female students came to join us but beshte ya uyo jamaa was the first to engage her in a conversation. Ulevi ulipanda na askofu naye akadai kufika promised land. The guy alichukua namba na lady left but mode akaniambia niko na mabeshte wangu clean naeza kuorganize akaniambia mi naishi hapa nyuma tu. Tulitoka na yeye but tulisumbuliwa na ladies wenye walikuwa nyuma ya the trailers with some heavy kamba accents ati " mboss mtasoma ngazeti." Mode akaniambia achana nao ata madem wawili wanakam sa hii in the next 10mins . Tulienda kwa nyumba yake a one bedroomed house in a kaplot with about 8 residential units. Story ziliendelea akinichocha about how pretty the ladies were. After abiut 15 mins nikamuuliza kwani hawakam bana he then made a 10sec phone call akaniambia ati ata wameconfirm wako on their way. Then kidogo kidogo akatoa katoothpick kake akicomplain about how he feels less of a man because of the tiny thing. I felt uncomfortable steam ya pombe ikashuka nkaanza kuwa alert juu i felt something was not right. I played it cool nkamuuliza hao madem vipi akamake another short phone call akaniambia ni mmoja ata atakam eti tutampiga combi mi nimalize alafu yeye akeshe naye. After almost half an hour i told him tutoke tuangalie if there is hope on the other side. Jamaa akainsist tubaki because the lady alikuwa karibu kufika but nikasimama and headed for the door. The guy akaanza kusmile akaeka mikono yake kwa mabega yangu akanimbia leo lazima nitakunyonya mboo. I never responded nlitulia nkamwambia twende nje juu nlijua there was lurking danger na hiyo gate ilikuwa imefungwa na kufuli ingine kubwa kweli. Nkamwambia ni sawa twende kwanza nje akafungua gate akanionyesha a long dark alley akaniambia hapa ni ubaya several peopl wameuwawa na enyewe it was dark and felt insecure kabisa. But the thought ya kuchanganya mixer ilinipea morale nkatoka hapo roho juu nkikimbia nikishout ka mbaya mbaya. Nkarudi club Zuscar nkauliza kawaiter kalikuwa kakituserve akaniambia those were a gay couple na nlikuwa nipigwe combi. Guys be xtra careful si mchele peke yake.

Ni screen yangu haioni paragraphs ama?

siettt sema tu ukweli uliraruliwa

sasa sweetie

Kiherehere yako ingefanya upasuliwe mayai, lakini all the same Pole bro. Na hio “kusoma gazeti” dio gani?

:D:D:D

Kubunja kabat kama champez.

Hii kijiji imeoza

Paragraph ni pesa ngapi?

ayayayayaaaah…and just like that you got chippowd…lakini man utaendaje kwa crib ya a strange man mmekutana usiku kwa bar?mi ata kwa crib ya mboyz siendagi juu ya heshima

summary ni jamaa alichunishwa skuma

How do you meet a guy in a bar and accompany him to his house? Madem hawaezi kuwajoin kwa bar? This could have gone really bad for you. Kuchapwa combi should be the least of your worries, your life was at stake here.

Kendeni huko… Mlikuja kusoma paragraphs ama hekaya. A man has opened up on how he “almost gave the kabat a flying round kick” na nyinyi hapa ni paragraph nyenyenyenye…

Mnataka paragraph? Chukueni basis
Paragraph paragraph paragraph paragraph paragraph paragraph
You want more…double selle

:D:D:D:D:D
Akili si maua… How do you follow another man whom you just met ?? It should have happened ndo iwe funzo

Kusoma gaseti ndio nini?

Jamaa alifinywa mbaya

kama ni paragraphs mnadai chukueni hii

Lorem ipsum dolor sit amet, doctus aliquip eos ex. Justo harum rationibus usu et. Sed case tollit lobortis ad. Cu est error munere, vis cu veritus nominati definiebas, clita voluptatibus eam in. Erat recusabo atomorum ut nam, ut eam vero appetere maiestatis. Mea quod insolens an, an eam impedit suscipiantur.

Te vim omnes tincidunt, mea ei congue definitiones. Sea id mundi accusata reformidans. Ius amet menandri abhorreant ad, feugait dissentiet eu mea. Eum dolore iudicabit no, ius no feugiat reprimique. Virtute eruditi apeirian eam ad, sit ei regione tacimates, duo ea nonumy tamquam comprehensam.

Te prodesset adipiscing sit, his eros oratio neglegentur ad, mea harum cetero appareat cu. Est an veniam splendide democritum. Ea justo putent pericula mei, brute legendos democritum at mei, eruditi luptatum ei quo. In nec erant omnium sadipscing. Vis te altera vivendo, option eripuit lucilius eam cu. Ne omnes pertinax argumentum per, eum dolorum dignissim no, ad qui nibh soleat aliquip. Natum malorum ei ius.

Assum iracundia ut sea, offendit corrumpit deseruisse no sit. At duo novum debet offendit, est te aliquip accusata euripidis. Pri ex bonorum admodum electram, nec ludus rationibus definitiones et. Ad partiendo expetendis est.

Discere delicata eu est. Id est nisl movet detracto, ea est everti aliquip. Sit ea porro accusamus vulputate, civibus tincidunt delicatissimi id est, cu oratio option vis. Ex congue labores epicuri vel, ei duis facilisis gubergren vix, veri doctus dolorum vis et. Has in option tritani quaeque, quo inani everti ad.

:D:eek::eek::D:D Boychild is under sieke nowadays

You miss the point.
It is not that it did not happen. IT DID HAPPEN and the hard stuff exit plumbing was replumbed proper

Afadhali waniue

Nikikutana na stranger aanze kuniongelesha mingi like we’ve known each other before i always hold my guard up…such people always want something out of you either at that instance or in the long run. Its how scammers dupe people into bullshit such as Aim Global.