Mbona imepwewa odds kubwa ivi[ATTACH=full]337007[/ATTACH]
Bookie wanacheza mind game hapa…juu bayern wamequalify already they expect them to field a weaker team and atletico to grind a win at home considering they need this win to ensure they qualify. Personal i don’t think bayern will take this game lightly.
Bayern dont have a ‘weak team’ . Hii ni pesa ya bure tunapewa
Atletico ni watu ya kutinga moja na kujenga ukuta…good luck with your easy money:D
Value bet ni DRAW sioni bayern ikiharibu 100% record kwa UCL since last season. As always hii ni ile game unangoja line up itokee, ukiona lewandoski, coman, kimich, gnabry na muler pea bayern kichwa.
@Sokwe mtu kumbusha mimi kesho niweke slip ya norway.
Gnabry must score twice. Hitler machine iko ngangari. Muindi leo lazima alie
Uliona fireball pale Bahrain gp ama ulikuwa umeenda urinal?
Ni team b banae
Hiyo ni app gani imeweka odds side by side hivyo?