Barbershop

Niko mtwapa natafuta a good barbershop… Help out

Opposite Tuskys ingia hapo ndani uliza Kaloti, good barber.

Hapo najua…I need where wanaosha kichwa vizuri

Hapo Kendas kwa corner

How much

Acha kuwa mzembe. Just go in and ask the price.

3 Likes

Jamaa anataka Mahali kuna extras hamushiki

3 Likes

He is just lazy. Mtwapa ni mahali unaweza kaa 10 mins ukitafuta coomer kweli?

5 Likes

Not everyone with eyes can see!

1 Like

Make that 3mins

3 Likes