Leo niko side za Banana na Tigoni, sasa juu mimi si msherati kama nyinyi,
kama una Elder anaishi hizi sides anaeza tokea, lunch on me


Bro, there is nothing gay about kukula lunch, mimi si kodivoa ati nakubuyia nikipanga mambo ya mcea yako. You are safe with me.
My offer still holds, kama uko hizi sides unaweza tokea

Ni sawa, hata lunch time imepita
iko elder anaitwa truman capote ingia inbox

