Back to school

Hakuna kitu ilikuwa inaniboo kama this time of the year, now i dont care, hawa watu wa shule warudi, wanatujazia tao, tunapanga line kwa ummoiner, hata kwa club hakuna dancing space, warudi shule.

hahaha woi na kujifanya vle wanaeza katia anybody…their vibes will make u cry…next week ifike haraka…