Na hii giza ya nabii na kuwa solo nimejaribu marecipe.
Mukimo/minji,roasted duck meat na carrots.
Mukimo -
1.nimetumia viazi,peas,pumpkin leaves,garlic powder,salt.Kila kitu unaboil pamoja halafu unamash zikiwa soft.
2.Duck meat nimeboil pamoja na garlic na salt,halafu ikiwa soft kiasi nikaizitoa na kuweka garlic powder na kuziweka kwa oven ya gas ,moto iroast,kuiwekea lemon inaleta taste poa.
Apparently hii nyama ya bata ni tamu,inaonja kama kuku ya kienyeji na inafaa kuboiliwa for some time iive vizuri,pia ikona mafuta.Sioni nikinunua kuku next month.
3.Carrots nikukata,kuiwekea lemon,salt,vinegar.
Result ni hii.
Tafuta mtu anazibreed, got it from someone on FB though I forgot the name,Hii stuff ni tamu.The meat has a strong taste only disadvantage is nyama ni ngumu and needs some time boiling it