Bachelor Hacks Series: Cooking an Egg using a Microwave

https://www.youtube.com/watch?v=VaQE-jXeHzg

https://www.youtube.com/watch?v=_GPjFo_1XUM

https://www.youtube.com/watch?v=uQJWo3QMJBU

The taste is horrible, wacha ikae…

Mcooshite ushafungua BGS fresh…

Been there done that kwanza gas ikiisha

hehehhe mpaka nyama nishawahi pika na microwave saa zile gas imeisha usiku wa manane

Hii ni kujikosea heshima

ya nyani huiva haraka sana

short cuts sio poa

Kula tu kwa hoteli uende ulale kama kuoa imekushinda.

Tell that to an empty growling stomach.

Mchezo ya mayai na microwave siwez!! In my bachelor days nilijaribu kuboil mayai na microwave ikalipuka kama bomb breaking the revolving plate and even cracking the door.

Tuliona