Away from Miss Mbotch

Yo, wakuu, Elgin leo ako spree mode, mdogo mdogo tu, wifey ako on duty, the temptations of our kasee milf miss mbotch, am on the run. Nafika Macha after thies ,nani ako area nishike John mtembezi…

[ATTACH=full]261426[/ATTACH]

Elder, bibi ya wenyewe ni sumu

[ATTACH=full]261428[/ATTACH]

Hio key itasumbua.Wait…

Yea…uko wapi leo, kuja Macha upate kienyeji ya mkamba uamke.

Kuna time ilisumbua, the batt was kaput. Since then no problem mkuu.

Kihiiii

Achana na Marigi kwa sasa.

@digi kihiiiiii

Nigga men…move on.

@digi kihiiiii

MA Ariingi you mean

Hehe…‘kuirigithia aingi’

Kuja hapa cats on the Rock, kwa mbaka

Haiya uko hapo mkuu?

Namumunya Tusker hapa Sussana Lodge, katoloni. Wacha nione namna gani mkuu.

Asante sana elder,

Ingia hapo legend, utafte kitu.