Audi S4 is fast buana. why should one even get a Subaru?

Pale kwa Kairu nmeona Subaru XT 3.2m while this Audi is 4.2m. Afadhali niongeze iyo 1m. Hii kitu imetoka mbio buana
[MEDIA=instagram]Cq5jXkroL51[/MEDIA]

It’s a beast but 4.2m apana

Utakuwa unakimbiza iyo gari barabara gani?

barabara ni mingi sana hii Kenya

Would only make sense if there was an express highway from Mombasa to Western Kenya

Gani hizo?

If you compare just on acceleration utapotea. Those are very different cars with different target markets.

Apana tambua watu nunua gari bro!

Wengine wamesota na idea zao ni za usinunue.

@Benn Dover unasemaje bro?

Hapa ni Audi all day every day. That supercharged v6 is a gem of an engine. I cannot buy a sports car na inatumia CVT. Gari ni automatic transmission with proper gear ratios.

4.2M for that Audi ni pesa mrefu. Nikiwa na 4.2m I will buy this Crown Majesta 4600 V8 petrol for 1.8 million shillings hiyo change ya juu ni pesa ya fuel. Then I will go and put a proper exhaust on it. Hiyo Audi stock horsepower ni 349 na crown ni 347 horsepower. Unamodify crown kidogo ifike 400hp baaaas. Maze value for money muhimu.

Ushaitumia barabara ya Naks to Eldoret Via Eldama Ravine?

Other than massaging a small penis, super and sports cars hazifai on Kenyan roads. We don’t really have roads to support cruising in Kenya. If unmarked speed bumps don’t get you eventually, wasee wa nduthi na speed cops will.

Hi pesa kamata 3bdrm house wuachana na depreciating liabilities kama gari.

https://scontent.fnbo9-1.fna.fbcdn.net/v/t1.6435-9/44744836_1626293247472311_4113029002417930240_n.jpg?_nc_cat=103&ccb=1-7&_nc_sid=730e14&_nc_eui2=AeGrbYlQgxmOIs6CUKeOGNXzAH3PreD8orwAfc-t4PyivPkSJgQXEN83HC3KD-wtwY8&_nc_ohc=KcUh5aGCdA8AX_3QwvG&_nc_pt=5&_nc_ht=scontent.fnbo9-1.fna&oh=00_AfAj2jSSBxqGeBnLIXVoyqGCpvPkuzIPQlWSTR3vIwRXuw&oe=645DF767

Amekuambia anataka gari. Let people get what they want. Usiwe kama wale catfish maliar what you see is what you get ukienda unapata ni orangutan.

1 Like

Catch me dead buying this stupid apartment kabla nibuy ndai safi. Btw how does this big fuckin apartment only cost 3 million?

3M was for One Unit…

Nowdays hata vijana wa Subaru wanapitwa na wamama wa Demio…mafuta iko juu…no need for powerful cars at the moment unless wewe ni mwizi wa public coffers

Apartment???
Tafuta buroti na ujenge a nice house.

Hii biashara inakuanga profitable huku vumbistan kweli? Juu gari nyingi huwa 4 cylinder na 2 cylinder.