Watch till the end
Huyo trader hana ata pen knife?
Ni kama ameget iyo idea kwa chatgpt,na ameshindwa ku implement. Enyewe uyo si mwizi ndio anajifunza through A.i ona vile ana hold gun,ona vile ata amevaa glasses,ona vile ako slow,ona vile ana pigana,yani kila kitu ni A.i,akili bandia
He’s about to get his hands cut off under Sharia law
Kwani hio mtaa watu wako slow aje? Time nilikuwa naishi Umoja enzi zile, nduru ya mwizi ilikuwa ikisikika, within seconds, raia imetokea with all manner of paraphernalia za kuua mwizi. Msee wa mjengo anakuja na spade yake, mechanic anakuja na spanner number 32, mama wa chipo mwitu anakuja na Ile kijiko ya kugeuza chipo, plumber ako na pipe wrench etc. Mwizi anapigwa within a minute anasema khandi tawe.
Amemaliza shughuli akarudisha gun bahali yake.. nikama wamekuwa mabeste akasahau.. anafaa kuwa dangerous
He even left his loot unattended…What a loser of supposed thief-cum-robber?.. ![]()
Chini ya hizo pesa anafaa kuwa ameficha kitu. Mtu akikuambia “empty the drawer” unazitoa tu pole pole halafu una unleash
Wampeleke kwa store wamdinye matako
Aren’t you gay man?
Tamaa zako za kimwili zitakumaliza kaka..
Niliona hii findio kidu 2011 or smthn.. It trended bcuz huyo dingo alikuwa amevaa toupee kufunika his kipash. cheki timestamp @ 1.53
Hio time video za uwizi za afghanistan zilikuwa na category yao… huko kilamtu ako na bunde na zintengezwa na watu wa welding kando ya barabara.
Huyo mwizi.. hana skills. Alitulia akawa in a friendly mode after kupata kile alikuwa anatafuta.. akasahau.. bado ako operation tafuta pesa. Angefaa kutoka aki shoot hewa.. looking dangerous
You couldn’t just resist, sindio? Why are you geh?
There’s at least 50 opportunities to take that gun from that crook. Many times he is hardly holding the gun, pointing it away. They could have slapped it off his hand. Huyo jamaa yuko apo nyuma should have lifted his chair and slammed it onto the guys head. Instant incapacitation.