ATHARI ZA UHAMISHO WA DODOMA KATIKA MAHUSIANO!

wakati uhamisho wa WATUMISHI Serikali ,kutoka Dar to Dodoma ukielekea mwisho,naomba tupeane uzoefu wa athari zake hasa katika Mahusiano na Mapenzi1
Uzoefu wangu mdogo Wadada wengi (sample ya ofisi yangu na za jirani) wenye umri kati ya Miaka 30-45 Ambao wamewaacha waume zao Dar wanafuraha sana na wanakula bata Dodoma!

Huu uhamisho unaweza kuigharimu wizara ya afya kwenye manunuzi ya ARV’s

Wanaume wanaotoka dar kuja Dodoma ni malaya si kidogo

He! Mbona siku zote humu JF wanadharauliwa!..WANAUME WA DAR!

Kuna wanaotamani kuhama na familia zao wanashindwa kwa sababu ya hofu ya kuishi kwa kipato kimoja.

Kumbe wewe upo Dodoma, au na wewe ndiyo wale waliohamishiwa huko?..

Mkuu, hili ndilo ndilo jibu sahihi, ingawa ninaamini wengi hawalioni hadi wamulikiwe tochi.
Uhamisho wa watumishi wa serikali kuhamishiwa Dodoma pasipo wenza wao, umesababisha nimeshuhudia mengi tena yenye kuogofya. Zinaa mekua kama ndio chakula cha watu kila siku, mbaya zaidi nilishuhudia uchafu mkubwa ukifanywa hasa na watumishi ambao wamekua wakiwapokea ama ndio wenyeji wa wanao hamishiwa Dodoma.
Yaani kwakifupi hawakataani na zaidi wanajikula kwa kiwango cha spidi ya Bombadia

Wenyewe wanahalalisha na usemi: Maisha yenyewe mafupi haya.

Fullest

akili kumkukichwa…ukute wengine ndokwanzaaa kwa namna moja ama nyingine wanakubaliana

cc @Smart911

Kukaa mbali tabu sana unaibiwa hadi na sisimizi

akili kumkukichwa ukute wengine ndokwanzaaa kwa namna moja ama nyingine wanafurahia

cc @Smart911

noma sana

Bila shaka upo Dodoma, hao malaya umewaonaje

Majanga!!!

Ndio poa

Tutaongeza wagonjwa wapya wa Ukimwi na Hepatitis B,Asilimia kubwa ya wafanyakazi waliokuja dodoma ni vijana , Dodoma na Singida kwa sasa wanafaidi kipato cha wafanyakazi wa serikali kupitia zinaa.Time will tell ,more to come

Hahah!!

Na wewe umehamishiwa Dom?! Eeeh

Hadi uwaone ,ni lazima uwe participant Obzeva!