0613 hours
Morning Talkers,
Nimeona nifungue sacco since Chairman/chairlady ameoversleep, am suspecting Morning glory.
Morning run done, had a sharp pain in my metatarsal but managed to reach the threshold of fatigue.
To all couples in the village have a wonderful Valentine’s day…we’ll watch from the sidelines.
PS: Tr(eat) her right.
Great Day to you all.
Nimelala bado
Orena Papa. Sunday inakubalika kulala zaidi.
Nmeamka naskiza ol’school apa
Cue in some Biggy. Lyrical genius.
Morning talkers? Ndio kuamuka am preparing to go to church.have blessed day.
Blessed day too…thinking of going to the 10am service. It’s been loong.
Niaje VE?
POA Zulu
Ma mods hawawes shindana na ndovu kunya! Wewe Ni bigwig na Leo Ni siku ya ma big wigs. Jersey za Arsenal will rule the streets of the world.
VE or NV, in my eyes yr still a chokosh. Ndo kuamuka…mzito ameamuka. Arsenali eeeh Arsenali aaaah
Germany pia Ni waking hours?
ni 05.45
Ok. Hutwo Tu nyanya tuwe Tu safi mno. Anza Ku warm bathtub.
Mzito ndio kuamka, Sundays sinaga mbio.
Morning everybody, side hustle nimeshafungua, nangoja wateja
Niko river road … Huku ikingotea msee gdmornin atakushangaa biz ni 24 / 7
Nii lugha gani nzuri iliyopasi duniani yenye kukupa fahari ya kuitamka… KARIBU KWENYE BBC IDHAA YA KISWAHILI.
Kujia bibi yako nishamalizana naye.
niaje mhesh? ulirudisha @Deorro telegram ndio akurudishie status? lakini naona bado hajapiga @Nefertities red card kwani ulishukisha your part of the bargain?