Asemavyo Kipanya leo

Mtoto ameegamia sandiku la siri, baba anajitafakari

[MEDIA=instagram]BnQOw-cHXY2[/MEDIA]

Kipanyaa.anajua sanaaa

Mtoto anajiamini lakini hajui hayo magurudumu ya kwenye sanduku yapo stand by, Sanduku linaweza kusepa muda wowote.