Asante Luther

Ni miezi kama inne hivi tangu niingie Gaceri dry fry. Niripimwo Nairobi Hospital wiki iriyopita nikapatikana niko safi. Sijawahi kuwa na furaha styro iyo. Ukweri ni kwamba siku ya ithano nirikuwa nataka kutupa izo madawa juu nirikuwa naharwo,naskia kutahika, naota doto baya baya scary scary na maitho ikapinduka na kuwa yerrow sana sana. Rakini Dr. Luther arinipea muoyo na izo dawa nikamarisa. Zirikuwa tembe 62 in total.
Pia nataka kuwashukuru wote wariotoa mawaitha kwa listing hii hapa chini. Pia nashukuru gacungwa kangu kwa kuvumiria mwezi mugima bira kuhakwo mbiro. Ukweri ni kwamba hizo bandage zirikuwa kwa mucuthe kwa siku 30 sio dagitari ariniweka, ni mimi nirijiweka iri tusifanye ngono na upate magonjwa in case I was infected.
Na kwa team dry fry. Chungeni sana. Sikuizi huwezi jua mugonjwa kwa kumuangaria tu. Watu wanaugua na kwa macho wanakaa wana afya mzuri.

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/doctors-in-the-house-post-exposure-prophylaxis-drugs-attn-dr-luther.26905/

2 Likes

Mtu anaweza pata through kupewa raw bj?

So, you are also @Mtu-kumi ?

[ATTACH=full]78760[/ATTACH]

wueh, hebu wekerea hekaya ya hii maneno, eresea visuuuuri…urisema aje??

hafana. nirikuwa nateberea iyo post kupata mawaitha ingine

Hafana

1 Like

Haki ya nani :D:D:D:D

I’m glad you’re ok mblo. Keep spreading the message of safe sex whenever you get a chance.

Sasa, hizo ‘mbandage’ ulisema zimewekwa kwa sababu ipi?o_O

2 Likes