Arsenali leo tunakamua mtu na machungu yote. Rumour has it that mzito Sanchez ako ndani ndani.
Game ni saa ngapi?
Leo lazima nyoka ikamuliwe ama ikamuane
6.00
@uwesmake swara usijaribu kuongea
6pm kenyan time
Tena unatag hiyo nyang’au na hiyo kiherehere yake utaiona hapa sahii.
Saa hii hauwezi kuiona hapa, iko katikati ya mapaja ya momo.
Let’s wait. Hapa naona draw
hii ninaona Liverpool waki wasumbua.
Arsenali wakishindwa leo Wenger atembeze kiatu.
Link?
haya iyo gg ikuom
Nsha stake. Kwa wale wanajua 2nd HSH odd ni 2 weka rent na utacheka after second 45 minutes
Ha ha, hii ka uniform ya Arsenal kako down, kwani ni half overalls?
Huyu wenger naye nini inamsumbua anawacha Lacazette bench anaanzisha welbeck mauzo.
Hapo kwa ‘uniform’ fits you perfectly. Keep it up…
Pace papaa…
NGITEEEEE! Firmino amezoea Cech sasa…
Whatever… kituuuuuuuuu iko ndani.
ai kale kateam ka europa hakana bahati.