Arsenal rejected bids

Arsenal takes the season and summer transfer window with a winning streak of rejected bids.

Kikikikiki… I miss epl

Heshimu Arsenal team kubwa duniani, NV

Hehe team kubwa pale europa

Europa ni ya magwiji GGMU, hio hatuitambui. group stage exit…

Unaona kama tutapata mtu wa maana ju disadvantage nikuwa hakuna atakubali kutoka timu inacheza champion league aje europa eg mbape, benzema and many more

Pesa ndio kusema, sio mahali atacheza next season. Hata saa hii Westham wakalipa mbappe £300k a week utamuona huko…

Sa Arsenali itaheshimiwa aje ilhali yaonekana haijiheshimu…

I doubt that… Hata player scouts siku hizi hawaangali mechi za Arsenali… Hahaa

Wewe unasema nini sasa? Kwani heshima ina maana ingine kwako?

Hehee… Heshima inakam na kuwin msee… Sa juu haiezi itakuaje

Destro… Hio nailike ama

Sasa unajua hapa sio mchongoano. Otherwise hio point yako ni kali sana. The truth is players huletwa na mshande, sio uzuri au ubaya wa club…my fren…

Kuwin nini exactly, ju kulingana na maoni yako inakaa kuna category yenye mumejiundia ya washindi…

Lacazette signing soon to be confirmed, haters will say he’s no better.

Arsenal will buy two unknown players from Eastern Europe and call it a season

Hio upuzi uko nayo rudisha huko kwa base ya keg na mogoka.

tuko nyuma ya wenger na mtu anataka sanchez alete 300 million pounds

Hapa mmeweza

Hapo sawa my fren…