Architect drawings needed for a double room house?

Surely, the cost of building is much exaggerated. If you have your plot and just want to escape paying rent, must you get architectural drawings for a double-room house with a separate latrine outside?

Hii unajichorea tu

Na wasee wa county hawaezi leta noma? Ama lazima uwajenge kakitu?

Unajenga na siku mbili by the time they find out ushamaliza

Enyewe hii inataka kaujanja flani sio kimalala. Na ukijenga fence around kwanza?

Weekend (Saturday na Sunday) unaingia site na Mafundi wako mnachapa mjengo juu officials don’t work during weekends

Site iko wapi? If it is in a place that requires county gov water supply jamaa wa maji ataku-seti. Wanakuwaga cartel na jamaa wa Engineering na public health kisha waki ku-summon wana threaten kukupeleka kwa NCA (min charge 20K) .

Enda lipa , if not, this guys will be on your back for the rest of your life, which will be costly in the long run.

double room pia munataka muchorewe

Buda shida sio kuchora… Noma ni county officials wakupate uki build without approval

Site ni Joska but interior. Huko hakuna maji ya kanjo watu wako na boreholes

Actually sina shida na kulipa county for approvals. Problem ni architect and engineer’ fees for the plans. Nimepata quote ya 150k! That’s extortion for just a plan

150 ni too much but lipia approvals.

Enda pale muthurwa.com uchague hii kwa bei ya jioni
[ATTACH=full]447478[/ATTACH]

Nilisha buy plan Muthurwa.com. I’m looking for an architect wa ku stamp the plan ndio ni submit for approval. Architects quotes zao ndio ngori. Ama naeza tu submit mwenyewe bila architect’s stamp and shit?

Oya @Randy, saidia mkulima mdogo

Jenga bana,don’t pay even a dime,tunajenga maghorofa na hatujali[ATTACH=full]447512[/ATTACH]

Kudos man! Ntafika hapa soon

Usijali wewe jenga ,hakuna mtu atakumbomolea

Wewe anza kujenga, watu ya county utamalisana nao mbele. After all the economy is very tough.