AOB upusu thoughts sacco

Si wangetoa token ya usingizi ya pesa kubwa na tutanunua. hii mambo ya kuamuka kila one hour si poa. Au mtu akipunguza ndoto token inakaa kaa?

Nimeamka 4:12 am.

ndio nimetoka jog, nataka nishawe nione kama kausingizi katrudi.

Village idler umeamka mapema ukaongea kama Messi

Messi haongeangi, yeye hucheza tu ball kama bubu.

ulisomea Lit wa miti ?

Boss umezeeka sana saidi …huoni mavi yako hutoka na mbue? Mshuto yako inasound haraaaaaaaambeeeee

@Mathaais ujinga yake iko hadi kwa bones

Mimi nilikuwa msee wa pure sciences na literature was optional.

200th anniversary of the birth of Karl Marx

Niaje mosquito, long time.

Morning wadau,threshold attained,good day

xaxa bingwa

:p…

[ATTACH=full]169089[/ATTACH]

Huku mashinani Ni peaceful… Naskia nitembee mtoni nikavute kakitu

Na ukilipia zaidi ikuje na nightmares ? Bado unarudi step 1

Hii non visible nivea ni upuzi. Nimekuwa nikitumia kumbe shit ilikuwa imeisha kitambo.
[ATTACH=full]169109[/ATTACH]

mtu anaweza wank na hio deo ya nivea ?

You still wank and you have a wife/girlfriends?

ni swali tu padre nijue vitu vijana wanafanya