Anyone...?

Anyone know a law firm or company legal dept that takes up undergraduates for attachment? With or without pay they don’t mind.
Nimeulizwa na relative na niko clueless…anafanya law wameambiwa semester ni hadi next year…saidia maskini:D

mwambie afuatilie Orengo – the walking constitution --when presenting cases in court. its free & the best attachment

:D:D shida ni moja most firms will only take attachees with recomendation letter+indemnity letters from universities. Hapa unless ujuane na wenye hizo firms

:eek::smiley: Huyu naona akienda kulima ocha hadi January…Indemnity letters ni zile letters za shule zinasema you’re student there and you need attachment ama?

True

apana ni insurance cover provided by the university

mwambie tuna strike na Babu Owino mpaka january

Judiciary yenyewe si hupeana attacho?

I only know of Judicial Attachment as a school unit and the school organizes this. But wacha nimuulize

Ako town gani?

malakisi

naskia hizo attachment/ internship za law firms mtu hufanyishwa kazi kama funda ya Wakanyama

lakini ukitoka hapo umeiva kikazi kabisa

Anaeza get a letter of recommendation from the CoD Alafu he pays insurance kitu 1500 for attachment indemnity

Nairobi

Thanks for the feedback everyone

http://kituochasheria.or.ke/contacts/internship/

wanafunzi waende nyumbani wafanye kusaidia wazazi, angalau izo mwili zenyu zikauke kidogo