Angola Msumbiji Warriors

Since it seems everyone wants to show off their gang, turn the 254 into Bogota, ata sisi pale Maghreb tunaona hii Angola Musumbiji ikirudi si mbaaaya sana.

Ndio KBC.

Na si gumo alikuana yake jeshi la mzee!

Hehe, hio ilikua ya kushika doria pale Vihiga Ndogo (Kawangware-Kangemi axis)

Munangoja nini?Ambwere ndiye alikuwa chief financier huyo tulikanyaga akajua kenya serikali iko imara.

Hiyo Mzee ilikuwa imenona Hadi shingo ikapotea.